Дорогие посетители! Если у Вас не воспроизводится в плеере видео, пожалуйста,
воспользуйтесь любым бесплатным VPN расширением для Вашего браузера.

MAGOLI YOTE - (3-1) TEAM KIBA vs TEAM SAMATTA katika UWANJA wa MKAPA...

8 Просмотры
Издатель
MAGOLI YOTE - (3-1) TEAM ALIKIBA vs TEAM SAMATTA katika UWANJA wa MKAPA...

TIMU Kiba leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Timu Samatta kwenye mchezo wa hisani wa SamaKiba Foundation uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

Lengo la mchezo wa leo ni kurejesha kile wanachokipata kwa jamii ambapo mchezo wa leo ulikuwa ni wa tatu kwa Timu Kiba na Timu Samatta kukutana huku mechi zote mbili zilizopita ushindi ulikuwa ni kwa TimuSamatta hivyo leo TimuKiba imepata ushindi wa kwanza.

Mabao ya upande wa TimuKiba yalifungwa na Ibrahim Ajibu dakika ya 25, Mudhathir Yahya dakika ya 53 na la tatu lilipachikwa na Hassan Dilunga dakika ya 90.

Bao pekee la Timu Samatta lilifungwa na Mudathir Yahya ambaye alijifunga dakika 59.

Timu Samatta walipata penalti mbili zote zilipigwa na Bernard Morrison ambaye alikosa penalti ya kwanza baada ya kumpa pasi Iddy Nado aliyepaisha na ile ya pili Morrison aliipaisha mwenyewe.

Kiba amesema kuwa ni furaha kwa mashabiki kujitokeza kwa wingi huku akiwaomba waendelee kutoa sapoti.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Категория
Биткоин
Комментариев нет.
Яндекс.Метрика